Mbunge wa Jimbo la Monduli Julius Kalanga amezungumza na waandishi wa habari leo March 6, 2018 na kusema kuwa maji yamekuwa ya shida katika wilaya ya Monduli baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kukata umeme kwenye chanzo cha maji Ngaramtoni kwa kudaiwa deni na TAMISEMI ambalo ni zaidi ya Tshs Milion 115.
Akizungumzia suala hilo Mbunge huyo amesema wananchi hawahusiki na malipo hayo na kinachotakiwa kifanyike ni deni hilo kulipwa ili huduma hiyo irudishwe haraka iwezekanavyo na kuepusha kadhia zaidi kwa wananchi ya maji.
BARUA YA HUSSEIN BASHE KWA BUNGE “UMOJA, USALAMA WA TAIFA”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA