Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.
Hizi hapa chini ni zile kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 01 2017 ambapo mojawapo ni kutoka gazeti la Mwananchi kuhusu mambo 10 ya kufanya 2017 iwe ya mafanikio, Gazeti hilo limeorodhesha….
- Nidhamu ya fedha
- matumizi mazuri ya muda
- malengo mbadala ‘Plan B’
- kuwa na taarifa sahihi
- usipoteze mwelekeo
- kujali afya
- uchaguzi wa marafiki
- kujielimisha
- 9kuwa tayari kwa lolote
- kuacha visingizio
#MWANANCHI Yakufanya 2017 iwe ya mafanikio
Nidhamu
Kujali muda
Taarifa sahihi
Utayari
Kujali afya
Marafiki
Malengo mbadala
Kujielimisha pic.twitter.com/Cr5oIy2vB3
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
Unaweza kuzipitia hapa zingine kubwa zilizoandikwa na magazeti ya Tanzania leo January 2017
#NIPASHE Mawaziri wakuu wastaafu, Edward Lowassa na Frederick Sumaye wamtembelea mbunge Lema ktk mahabusu ya gereza la Kisongo pic.twitter.com/N2HCvwC9ow
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#NIPASHE Rais Magufuli anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kagera kuanzia leo pic.twitter.com/EFUXDyL1PX
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#NIPASHE Kamanda Mpinga asema ni ruksa kwa askari kujificha kwa namna yoyote ili kupata mwendokasi halisi wa magari kwa kutumia 'tochi' pic.twitter.com/PubbwZtaj1
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#NIPASHE Zaidi ya mil 30 zinakusanywa kila mwezi kwa wamachinga Mwenge DSM na kuingizwa mifukoni mwa watu wanaodaiwa wafanya usafi pic.twitter.com/2ruu6y1pal
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#NIPASHE Waziri Mkuu Majaliwa ameagiza walimu wanaoishi mbali, na shule zina majengo wahame mara moja na kuishi kwenye maeneo ya shule pic.twitter.com/AY4q0FvSJX
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#NIPASHE Watu watatu wamefariki dunia na wengine 88 kuugua kipindupindu ktk tarafa ya Karema ziwa Tanganyika mkoani Katavi pic.twitter.com/ibIROaZagv
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#TanzaniaDAIMA Waziri Muhongo amezuia utekelezaji wa bei mpya ya umeme zilizopangwa kutumika kuanzia leo, asema serikali haikupewa taarifa pic.twitter.com/KR54YeKvRU
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#TanzaniaDAIMA TRL imesema itapoteza zaidi ya mil 75 kutokana na ukarabati wa njia ya reli ya kati ya DSM hadi Pugu stesheni pic.twitter.com/g88b8YhUIs
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#JamboLEO Zitto aweka hadharani kiwango cha mshahara na posho yake ya kujikimu kwa kazi yake ya ubunge kwa mwaka, kuwa ni zaidi ya mil 123 pic.twitter.com/P20Zj5zYHF
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Rungwe ameitaka Serikali isijiingize ktk biashara, bali iachie sekta binafsi na yenyewe ikibaki kusimamia na kuwezesha pic.twitter.com/UWwoDr2div
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Naibu Waziri Angelina Mabula ametoa siku 30 kwa NHC kukabidhi nyumba 14 kwa halmashauri ya Busokelo ilizojenga ili kuiuzia pic.twitter.com/rufUnUjkuh
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI JPM atoa msaada wa madawati 852 yenye thamani ya zaidi ya mil 60 kwa shule za tarafa za Bwanga na Buseresere wilayani Chato pic.twitter.com/tcq7000el7
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Watumishi wanne Igunga Tabora wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi kwa tuhuma za kushindwa kuwasimamia wakulima wa pamba pic.twitter.com/Ky3VJhiHrU
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Auawa kwa kupigwa risasi kwenye paji la uso, alikuwa akiamua ugomvi wa pumba za mchele kati ya baba yake na mtuhumiwa Tarime pic.twitter.com/tBsHbOAomH
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Mkuu wa mkoa Mara Dk.Charles Mlingwa amesema wilaya itakayokumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu viongozi watawajibika pic.twitter.com/AuIWBoTzw9
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Jarida la Times of India linataja tunda la peasi kuwa tiba ya kukabiliana na mafuta kwenye ngozi, kuilainisha na kuifanya nyororo pic.twitter.com/yI8TTEs1Oo
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Real Madrid imetumiwa ofa ya kuvuna Pauni 250 milioni na klabu ya China ambayo haikutajwa kama itamruhusu Ronaldo kuondoka pic.twitter.com/VKU5X8jrbC
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#MWANANCHI Mapacha Anna na Lucy DeCinque wanaoishi Australia kufunga pingu za maisha na mchumba wao Ben Byrne waliyedumu naye kwa muda mrefu pic.twitter.com/vUJuNUAhz7
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#HabariLEO TRA yanasa bidhaa za magendo zenye thamani ya bil 4 zilizoingizwa kwa njia ya panya ambazo zimeipotezea Serikali kodi ya bil 3.3 pic.twitter.com/3XpoztdLqg
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#HabariLEO Mwanamke akatwa kichwa nchini Afghanistan baada ya kwenda kufanya manunuzi sokoni bila kuambatana na mumewe au ndugu wa kiume pic.twitter.com/fFBF2ZQfdH
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#JamboLEO Imeripotiwa wanandoa wawili Brazil walijifanya wanakaribia kupata mtoto kabla ya kumteka mjamzito na kumpasua tumbo na kutoa mtoto pic.twitter.com/N9L7iaMi6E
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
#JamboLEO Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Yanga, Hans van der Pluijm anadaiwa kutaka kumhujumu kocha mpya Lwandamina kwa kuwagawa wachezaji pic.twitter.com/MB9icrokr4
— millardayo (@millardayo) January 1, 2017
AyoTVMAGAZETI: Ukweli kuhusu trafiki wanaojificha porini na tochi,Bei ya umeme yapigwa ‘stop’
unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE