First lady wa zamani wa Kenya mke wa Rais Mwai Kibaki, Lucy Kibaki amefariki Dunia ambapo taarifa zinasema amekuwa akiugua kwa muda na alikuwa akitibiwa Kenya kwa takribani mwezi mmoja na baadaye alipelekwa Uingereza kwa matibabu zaidi ambako mauti yamemkutia huko, hapa chini ni taarifa aliyoitoa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
ULIKOSA RAIS MAGUFULI ALICHOWAJIBU WANAOSEMA ANANYANYASA ANAOWATUMBUA MAJIPU HADHARANI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI….
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE