April 26 2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa taarifa kwa umma ya kuwepo kwa mvua kubwa na upepo mkali, taarifa hiyo ya mamlaka ya hali ya hewa imetaja maeneo yatakayoathirika kuwa ni pamoja na Tanga, Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba ambapo mvua hizo zinatarajiwa kusambaa katika maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro na mashariki mwa Manyara.
ULIIKOSA HII YA MAFURIKO NA FOLENI KINONDONI SASA BASI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE