Kama kuna stori kubwa hujaipata leo, unaweza kupitia Tweets hizi hapa kutoka Magazetini Tanzania mtu wangu, zote zenye stori kubwa huwa nazisogeza Twitter kwenye account ya @millardayo kila siku, za leo 10 kubwa hizi hapa.
Nyumba ya Kamishna wa polisi Z'bar yalipuliwa, ni mwendelezo wa matukio ya uhalifu ambayo siku chache zilizopita yalitokea Pemba #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Bilioni 30 zahitajika kurejesha mabalozi wote waliomaliza muda wao wa kuiwakilisha nchi nje ya nchi #GazetiMWANANCHI #March 16
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Halmashauri ya Jiji la Dar hatimaye imetangaza March 22 kuwa ndiyo siku ya uchaguzi wa Meya #GazetiMWANANCHI #March 16
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Rais Magufuli aagiza Ma-RC kuhakikisha wanawakamata vijana ambao hawataki kufanya kazi kwa kuwapeleka ktk kambi ili wakalime #GazetiNIPASHE
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Matapeli wateka mawasiliano ya DC Arusha Fadhili Nkurlu na kutumia kuomba fedha kwa watu wa karibu naye na kufanikiwa kupata mil 10 #NIPASHE
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
90% ya malalamiko ya bidhaa zilizo chini ya kiwango yanayopokelewa Tume ya Ushindani wa Haki 'FCC' yanahusu simu #GazetiNIPASHE
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali 'PAC' imeikataa ripoti ya NEC baada ya kubaini kasoro ktk hesabu zake za fedha #MTANZANIA
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Mamlaka ya Usafiri Baharini Z'bar imefuta safari zote za baharini siku ya uchaguzi wa marudio ili kutoa fursa ya kupiga kura #MTANZANIA
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Ugunduzi wa gesi asilia futi za ujazo trilioni 2.17 Bonde la mto Ruvu Pwani umeongeza uhakika wa upatikanaji wa umeme vijijini #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
TRA imekusanya bil 12 kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi baada ya kupewa muda wa siku saba na Rais John Magufuli #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 16, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
Ilikupita hii Video ya Kilichomchekesha Rais Magufuli japokuwa alikua kavaa sura ya kazi IKULU? ANGALIA VIDEO HII HII HAPA CHINI