Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Mbowe amesema viongozi watakaoshindwa kuandaa maandamano ya UKUTA September Mosi watakuwa wamepoteza sifa pic.twitter.com/rQ6DSgRlvG
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#NIPASHE Waziri Mkuu Majaliwa amemuagiza CAG kuchunguza madai ya kuwapo dalili za ufisadi soko la Mwanjelwa Mbeya pic.twitter.com/chFBTYAuMm
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MWANANCHI Lissu amezihusisha barua walizoandikiwa yeye na Mbowe kuwa ni njama za kuwakosesha sifa za kuwa wabunge pic.twitter.com/0HbV2HazTZ
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MWANANCHI Watu wenye kipato cha juu hatarini kupata utapiamlo kutokana na ulaji wa vyakula visivyo na tija kiafya pic.twitter.com/KUsCsm9Ek7

#MWANANCHI DAS mpya wa Bahi, Kasilida Mgeni Mnimila hajaripoti kituoni, mwenyewe asema amepangiwa majukumu mengine pic.twitter.com/5Ev2YnyBqt
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MWANANCHI Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetangaza kushuka kwa mfumuko wa bei mwezi uliopita, ikilinganishwa na June pic.twitter.com/LMpxM0XKV1
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MWANANCHI China kupanua wigo wa uwekezaji sekta ya habari na mawasiliano ili kujitangaza na kuinua uchumi nchini pic.twitter.com/JYbBCX942R
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MWANANCHI Shule ya msingi Putini Tanga yenye wanafunzi 143, ina chumba kimoja cha darasa na mwalimu mmoja pic.twitter.com/GvmUmzmSSr
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#JamboLEO Watumishi wa Serikali kuhamia Dodoma kwa treni, kila familia kupewa behewa, 'siti' sita pic.twitter.com/SRPxPOcp4S
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#JamboLEO Watanzania wanaosoma Uturuki ktk vyuo vilivyofungwa watahamishiwa vyuo vingine kuendelea na masomo yao pic.twitter.com/nAZem7q1I9

#HabariLEO TPA ipo ktk hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa meli tatu za kisasa ziwa Nyasa pic.twitter.com/foPyxwky9x
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#UHURU Utafiti nchini Kenya umebaini kuwa ulevi umeua idadi kubwa ya wakenya kuliko ugaidi pic.twitter.com/sSOedNQggF
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MAJIRA Serikali ipo kwenye hatua za kuondoa matumizi ya mkaa na kuanza kutumia nishati mbadala ikiwemo gesi pic.twitter.com/O2qyCq3fNx
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MAJIRA Ujenzi jengo la tatu la abiria JNIA ukikamilika utahudumia abiria mil 6 kwa mwaka badala ya mil 2.5 kwa sasa pic.twitter.com/KGF9pPoJI0
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MTANZANIA Madaktari MOI wasema jengo jipya ni sawa na mahabusu, lifti hazifanyi kazi na mzunguko wa jengo ni mkubwa pic.twitter.com/PRPSM5Akak
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#MTANZANIA Mratibu mkazi wa UN nchini, Rodriguez amesema TZ kuwa ya viwanda bado kutokana na changamoto zilizopo pic.twitter.com/EOIKGRG7A1
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#NIPASHE Vibanda 31 vya biashara soko la kitaga Kasulu, Kigoma vimeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa pic.twitter.com/gABkJ88Hgu
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#NIPASHE Muhimbili yafafanua usitishaji chakula kwa wagonjwa, yasema sababu ilikuwa ni maandalizi hafifu pic.twitter.com/HOB5yyNbVb
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#JamboLEO TRA imesema hivi karibuni itafanya uhakiki wa walipa kodi ya majengo kwa kushirikiana na serikali za mitaa pic.twitter.com/h5NnlKf9Tv
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
#JamboLEO Askari wastaafu Mwanza walalamikia kufukuzwa kutoka kwenye nyumba za jeshi hilo wasema ni udhalilishaji pic.twitter.com/b4v385LnzB
— millardayo (@millardayo) August 10, 2016
ULIKOSA HII YA LISSU KUSEMA HAKUNA MTU ANATAKA KUMJARIBU RAIS MAGUFULI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI