Kutoka bungeni Dodoma leo February 7 2017 katika kipindi cha maswali na majibu Mbunge wa Mikumi kupitia ticket ya CHADEMA Joseph Haule maarufu Profesa J alisimama kuhoji hatma ya milioni 600 jimboni kwake.
Ni pesa ambazo zilitumika kujenga miundombinu ya umwagiliaji jimboni kwake iliyochini ya kiwango ambapo baada ya swali lake majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa maji na umwagiliaji Mhandisi Kamwelwe, tazama kwenye hii video hapa chini