Huwa inatokea sana tu uko kwenye usafiri wa Umma alafu abiria mwenzako anakulalia kwa bahati mbaya…. mara nyingi huwa inatokea Wanawake wanapeta ila Mwanaume kumlalia mwanaume mwenzako hapo ndio zogo.
A video posted by millard ayo (@millardayo) on