Kama utaweza kuwasha radio yako na kujiunga na CloudsFM kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku utakutana na mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye kazi yake ni kuzikusanya stori kubwa 10 za siku kutoka kwenye maisha, muziki, michezo na mengine.
Stori za April 27 2015 ndio hizi.
#AMPLIFAYA #April27 #10 Rich Mavoko ‘mimi ndio niliuandika wimbo wa #nakomaanajiji , naweza kuandika sana nyimbo za kike, hawanitaji tu’
— millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #9 ‘Diamond hana kolabo na Usher Raymond, ila kolabo ipo na mmoja wa Top5 wakali wa Marekani, ya Trey ilisimama’ -Meneja — millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #8 Unaambiwa jicho la binadamu huwa linafunga na kufungua (kukonyeza) kwa zaidi ya mara milioni 4.2 kwa mwaka.
— millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #7 Dully ‘bodyguard wangu amewahi kuniokoa kwenye fujo na Wanajeshi wawili Wastaafu kwa nyakati tofauti, walinitukana’ — millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #6 Jose Mourinho ‘Chelsea haiboi, kinachoboa ni kukaa miaka 10 bila kombe, hicho ndicho kinachoboa zaidi’
— millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #5 Majid aliyefanya kazi ndani ya bunge Kenya kwa 10yrs, amekamatwa kwa kushirikiana na Al Shabaab kutaka kulipua bunge. — millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #4 Waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi Nepal wameongezeka na kufikia zaidi ya 3600.
— millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #3 Christian Bella ‘Sio ubaguzi Wakongo kuajiriwa kwenye band, ni sababu muziki huu ni asili yao, nimeajiri Watz pia’ — millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #2 Rais Museveni ameviagiza vikosi vya usalama kutoa mafunzo ya kijeshi kwa raia, ni katika kupambana na Al Shabaab.
— millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015
#AMPLIFAYA #April27 #1 Hamza, kijana albino mchapakazi, dereva wa bodaboda Dar anaefanya kazi kwa saa 6 tu za siku kwa hofu, habebi asiemjua — millardayo.com (@millardayo) April 27, 2015