Mvua imekua ikinyesha mfululizo kwenye jiji la Dar es salaam ambapo kwenye sehemu nyingi Madimbwi ndio yanayoonekana, yani maji yamesimama na hata mtu anaweza kuzama asipokuwa makini.
Lakini wakati hayo yote yakiendelea, kuna upande mwingine wa vituko huku tunakoishi… bila kujali haya maji yana madhara gani, jamaa mmoja amenaswa akijitupa kwenye dimbwi yani kama yuko kwenye swimming pool, tazama video yake hapa chini.
Licha ya kua kuna mvua na mafuriko ni mengi, jee hii ndio kuiadabiaha mvua?Au kukata tamaa?Au kujifurahisha?Jee huyu haogopi hata maradhi yatokanayo na maji haya machafu?Unalipi?
Posted by Ammar Ruweih on Thursday, May 7, 2015