Leo July 1, 2018 Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko katika Wizara mbalimbali ambapo amemteua Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Nafasi iliyokuwa ikitumikiwa na Mwigulu Nchemba Mbunge wa Iramba Magharibi.
Pia Wizara ya Ujenzi, ambapo Waziri Mbarawa amehamishiwa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji akitokea Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.