Ni mbunge wa Nzega Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye alikua miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania 2015.
Leo August 5 2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘
‘CHADEMA ilipata umaarufu kwa kupinga ufisadi na kumchafua Lowassa, leo wana kazi ya kumsafisha na kujieleza kuwa wao si wa aina yake, uchaguzi2015 CCM itaheshimika zaidi, upinzani utapotezwa vibaya sana na utakufa kifo cha aibu #MagufuliMtendaji ‘
#Uchaguzi2015 CCM itaheshimika zaidi, upinzani utapotezwa vibaya sana na utakufa kifo cha aibu #MagufuliMtendaji
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Baada ya #SafariyaMatumaini kufa, nimeambiwa @edward_lowassa AMEIBA Jina la #SafariyaMabadiliko toka kwa Kigwangalla pic.twitter.com/eLsEedH5NN — Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Watia nia wengine waliishia kwenye vikao Vya Sekretariet na Kamati ya maadili, wengine tulifika Kamati Kuu, tukaambiwa ni hazina ya kesho!
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
CDM gained popularity by tarnishing the image of the status quo and leaders like #Lowassa. #MagufuliMtendaji — Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
4 mo than 20 yrs they worked hard to tarnish the status quo on graft and corruption scandals, they will’ve to cleanse the master in 70 days!
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Throughout your life you have never been a reformist, never a fighter, today you purport to be a change agent! How? #MagufuliMtendaji — Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Political parties should not be opportunistic with short term strategies, they should strive to lead in thought and ideology #Makapi
— Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
Baada ya cream kuchujwa, kinachobaki ni nini? #Makapi — Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) August 5, 2015
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos