May 7 2016 mchezaji wa Yanga ambaye pia amewahi kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Malimi Busungu aliingia kwenye headlines baada ya kugongana na kipa wa GD Esperanca ya Angola ,Yuri JKose Tavazes dakika ya 53, Busungu alishindwa kuendelea na mchezo na kutolewa nje ya uwanja na baadae kuwahishwa hospitali.
Leo May 9 2016 rasmi uongozi wa Yanga kupitia kwa afisa habari wake Jerry Muro wamethibitisha kuwa mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja mwezi, kwa maana hatamalizia mechi za msimu zilizosalia “Ni kweli Busungu ameumia katika mbavu na atakuwa nje ya uwanja mwezi”
ALL GOALS: YANGA VS GD ESPERANCA MAY 7 2016, FULL TIME 2-0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE