Klabu ya Yanga ipo tayari mjini Lubumbashi DRC Congo kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho wa Kundi A wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao TP Mazembe, Yanga wamefikia Hotel Lubumbashi ikiwa katikati ya mji wa Lubumbashi bila uwepo wa baadhi ya nyota wao kama Vincent Bossou, Nadir Haroub Canavaro, Donald Ngoma, Ally Mustapha Obrey Chirwa na Kelvin Yondani.
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha 9 za hoteli waliyofikia Yanga katika mji wa Lubumbashi
GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1