Alfajiri ya leo August 26, 2017 moto uliosababishwa na mlipuko uliwaka na kuunguza jengo la Ofisi za IMMMA Advocates za Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha zilizopo Upanga, Dar es Salaam na kusababisha hasara.
Ayo TV na millardayo.com zimempata mmoja wa walinzi wa eneo la jirani na jengo hilo na kusimulia kilichotokea.>>>”Walianza vurugu na ndani ya dakika kumi wakaondoka na walinzi watu kabla ya milipuko kuanza kwenye ofisi hizo dakika moja baada ya wao kuondoka.”
Tazama kila kitu alichosema mlinzi kuhusiana na tukio hilo kwa kuplay kwenye hii video hapa chini!!!
Ofisi ya Wakili Fatma Karume yateketea, kinachodaiwa kuwa chanzo chatajwa!!!!