June 23 2016 klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya imetangaza good news kwa mashabiki na wapenzi wa klabu yao, Mbeya City ambayo inafanya mikakati ya kujenga upya kikosi chake, imetangaza kuingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na kampuni ya Binslum Tyre kupitia Battery za RB.
Mkataba wa miaka miwili waliosaini Mbeya City na kampuni ya Binslum Tyre kupitia Battery za RB unathamani ya Tsh Milioni 360, hivyo msimu ujao tutaendele kuwaona Mbeya City wakiendelea kuvaa jezi zenye nembo ya RB Battery kama kawaida.
GOAL AND HIGHLIGHTS: MO BEJAIA VS YANGA JUNE 20 2016, FULL TIME 1-0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE