Watanzania wawili akiwemo Fundi ujenzi wa Mwanza aiwate Gibson Greshen ( ambae kwa sasa yuko Musoma kikazi) na Brighton Mutalemwa wa Songea Mkoani Ruvuma wameibuka Washindi wa Shilingi milioni 40 kila mmoja.
Ni kwenye bahati nasibu kubwa ya Tanzania iitwayo TATU MZUKA ambayo Jumapili ya January 21 2017 ilikua ikitoa zaidi ya milioni 80 kwenye round zote mbili zilizo kwenye utaratibu wa kawaida.
Gibson angeweza kuchukua zote milioni 80 kutoka kwenye round ya kwanza kama Mutalemwa angeshindwa kuotea kadi zote 3 za MZUKA kwenye round ya pili ambako kulimfanya agawane hizo 80 na Gibson.
Ukiachia Gibson na Mutalemwa, kuna Washindi wengine wawili waliojishindia kila mmoja Shilingi MILIONI 27 kutoka kwenye round ya kwanza na ya pili ambao ni Emmanuel Adolph Shayo wa Pugu Ilala Dar es salaam na Andrew wa Sekei Arusha.
Tabasamu limehamia kwa Mamilionea wapya Fundi Gibson wa Mwanza na Brighton wa Songea baada ya kila mmoja kushinda MILIONI 40 za #TATUMZUKA
J3-J’mosi MILIONI 10 lazima ipate MSHINDI, tuma Tsh. 500 kwenda # ya kampuni 555111 ikifatiwa na namba zako 3 za bahati ( Mfano 233 AYO) pic.twitter.com/2usEr418cV
— millardayo (@millardayo_) January 21, 2018