Ni July 19, 2022 ambapo Rais Samia amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jina (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Sasa hapa nimekusogezea ushuhudie amba ufahamu alichowahi kubaini Wambura katika tukio la Mauaji alilofanya Hamza Dar es Salaam.
RAIS SAMIA ALIVYOTAKA IGP MPYA ‘WAMBURA’ ALETWE DSM KUKOMESHA UJAMBAZI