Mfanyabiashara maarufu James Rugemarila na mmiliki wa mitambo ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Seth leo July 28, 2018 wamefikishwa tena mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi yao.
James Rugemarila na Harbinder wakikabiliwa na mashtaka 12, badala ya mashtaka sita waliyosomewa awali.
Ayo TV na millardayo.com ziko Mahakamani na zitakuletea kila kitu kinachoendelea Mahakamani
Wafanyabiashara Rugemarila ESCROW na Seth IPTL wamefikishwa Mahakamani Kisutu asubuhi kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. #MillardAyoBREAKING pic.twitter.com/zbQ8BXaFsh
— millardayo (@millardayo) July 28, 2017
ULIPITWA? Tundu Lissu afunguka ishu ya kutaka kupimwa mkojo na mengine…play kwenye hii video kutazama kila kitu!!!