Timu ya Dar es salaam Young Africans inatarajia kuondoka kesho kuelekea Algers nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzua hatua ya makundi ya michuano ya kombe la shirikisho la soka barani Afrika CAF dhidi ya MC Alger.
Katibu mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa ametaja utaratibu wa safari hiyo na kutaja majina 20 ya wachezaji watakaosafiri kwenda kucheza mchezo huo wa marudiano, Yanga inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kuingia hatua ya makundi baada ya kupata ushinda wa goli 1-0 katika game ya kwanza.
VIDEO: Simba imekubali kipigo cha nne cha VPL vs Kagera April 2 2017