Wasanii wa BongoMovie wanaounda Kundi la Uzalendo Kwanza wapo mjini Tanga kwa ajili ya kuendeleza dhamira yao ya kukahamasisha watanzani kuwa wazalendo na kuanza kupenda vya nyumbani kwanza na kusifia vya nyumbani kabla ya kuanza kuvipenda na kusifia vya nje.
Uzalendo Kwanza wakiwa Tanga ambapo wamepokelewa na mwenye wao Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shegela ambapo umoja wao umefanikiwa kutoa vifaa vya hospitali kwa Mkoa wa Tanga buree vyenye thamani ya Tsh Milioni 29, ikiwa ni sehemu ya nia yao ya kuonesha uzalendo na mapenzi ya kwa watu wa Tanga.
VIDEO: RC Tanga ametuonesha Ukumbi wa Cinema Tanga mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki