Ni Wakali wawili wanaounda kundi la 2wobunnies ambae tayari wameshatua Dar es Salaam kwaajili ya kuwaburudisha watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kwa jina la Amapiano.
Wakali hao wawili anatarajiwa kutoa burudani leo Feb 18, 2023 katika Chimbo liitwalo Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha alivyowasili katika Airport ya JNIA.