Ni siku moja imepita toka timu ya taifa ya Brazil iondolewa katika michuano ya Copa America 2016 kwa kufungwa goli 1-0 na Peru. Brazil walifungwa goli dakika ya 75 na Raul Ruidiaz, goli ambalo linaaminika kufungwa kwa mkono kitu ambacho kilifanya refa achelewe kufanya maamuzi.
Leo June 14 2016 Brazil wametangaza maamuzi mapya ya kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi hicho Carlos Dunga, baada ya timu yao kutolewa mapema na timu iliyo nafasi ya 48 wakati wao wakiwa nafasi ya 7 katika viwango vya FIFA.
#MillardAyoUPDATES #LiveMatch #FullTime #Brazil 0-1 #Peru (#Ruidiaz 75′) #CopaAmerica #Brazil wametolewa rasmi pic.twitter.com/5TcdDBx267
— millard ayo (@millardayo) June 13, 2016
ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF
https://youtu.be/VSM0_i0-DY0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE