Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa leo July 13, 2017 ameripoti kwa mara ya tatu Makao Makuu ya Jeshi la Polisi DSM kwa ajili ya mahojiano, akituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi wakati wa futari mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Lowassa aliripoti Makao Makuu ya Polisi saa tatu asubuhi na baada ya takribani dakika 30 Wakili Kibatala alitoka nje na kutoa taarifa kuwa wameambiwa warudi tena Alhamisi ya July 20 mwaka huu.
Hii video ni alivyotumia dakika 30 kuingia na kutoka Makao Makuu ya Polisi DSM…bonyeza PLAY kutazama!!
Teknolojia ya Panya kutoka Tanzania ambayo inashinda za wazungu!!!!