Foosball imetisha mpaka robo fainali Dsm. @Heineken_TZ
Share
1 Min Read
SHARE
Mwakilishi wa kampuni ya Heineken Tanzania, Amon Theonest (katikati) akiwapongeza wachezaji wa Team Boko stars baada ya ushindi wao pale Hisaje Park, Boko. Washindi hao Elifuraha Salimu (kushoto) na mwenzake Rafael Masanga waliitwanga timu ya bongo stars kwa magoli tisa nakuingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain kuangalia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league
Japo nilikua Dodoma kwa zaidi ya siku 20 lakini taarifa na pichaz za Watu wangu wa nguvu Dar es salaam jinsi walivyojitokeza kwenye hii game ambayo imekua ikisimamiwa na Heineken Tanzania nimekua nikizipata.
Kutana na hawa walioshinda na kuingia kwenye robo fainali iliyotokana na game zinazopigwa kwenye meza za viwanja mbalimbali Dar es salaam.
Kapteni wa timu ya Winners Moses Maira (kulia) akitabasamu pamoja na mwenzake Hassan Chansa Juma baada ya ushindi wao kwa mchezo wa foosball pale kisima cha burudani, Brazil Tegeta