Miongoni mwa stori kubwa za leo ni pamoja na hii ya chama kipya cha kisiasa kiitwacho ACT kuanzishwa nchini Tanzania ambapo kwa sasa kina Mwenyekiti wa muda tu lakini kimepata usajili wa kudumu.
millardayo.com inaendelea kufatilia na itakuletea stori kamili ikipatikana, cha muhimu ni kuwa karibu yangu ili kupata vyote vinavyonifikia…. twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo