Bi Shida ambae ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alifariki dunia hospitali Dar es salaam June 1 2014 alikokua amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU)


Unaweza kujiunga na mimi kupata kila kitakachoendelea kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram facebook
Picha zote zimepigwa na Dj Sek blog.