Mtoto wa Bilionea wa Madini Julius Jublete pamoja na Mke wake wamezungumza juu ya wao kuzuiwa na ndugu kushiriki kwenye mazishi ya Jublete ambaye ni mfanyabiashra wa madini na hivyo kufungua kesi Mahakamani.
Julius Jublete mtoto wa marehemu pamoja na Mke wake wanadai wamezuiwa kuhudhuria kwenye mazishi baada ya hukumu ya Mahakama kuamuru azikwe.
MBUNGE SUGU AZUNGUMZA BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA