Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Balozi Ombeni Sefue amesema baada ya miaka mingi ya utumishi wa umma sasa ni wakati wake wa kupumzika pic.twitter.com/1PwZhdz63s
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Watanzania takribani 10% wanamiliki akaunti zisizozidi mil 3 ktk benki zote nchini pic.twitter.com/nwZynW6LHG
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Zaidi ya nyumba 60 ktk kijiji cha Kwahemu Chamwino zimeathiriwa na tetemeko la ardhi lililotokea Jumanne pic.twitter.com/8Eq3NEblVL
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Zaidi ya nyumba 300 kata ya Matongo Tarime zimebomolewa kupisha mgodi wa dhahabu wa Acacia North Mara pic.twitter.com/q8WppXutVv
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Idadi vifo vya wagonjwa wa Sumukuvu iliyozikumba wilaya za Kondoa, Chemba yaongezeka kutoka saba hadi 13 pic.twitter.com/LLqMYFFnZ8
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Miji nchini yakua 5.7% bila mipango miji na kusababisha kukithiri kwa ujenzi holela na migogoro ya ardhi pic.twitter.com/GucmPaYOiu
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Mtoto miaka mitano awekewa kifaa cha kusaidia kudhibiti mapigo ya moyo ktk taasisi ya moyo Jakaya Kikwete pic.twitter.com/7gAnCSApAZ
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#NIPASHE Utafiti: Vitambi husababisha vifo kwa wanaume takribani mara tatu zaidi ya wanawake pic.twitter.com/xReLbmN9es
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#NIPASHE Vigogo wengine watatu wasimamishwa polisi kwa kutoa malipo hewa ya posho ya chakula kwa watu wasio askari pic.twitter.com/Vc4aeqdJBG
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#NIPASHE TRA imeanza kufanya mchujo wa namba za TIN kwa watu ambao wamekuwa wakijisajili kwa namba zaidi ya moja pic.twitter.com/0sy6RXFnhf
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#NIPASHE Jaji mkuu waTanzania Othman Chande amesema mahakama ya mafisadi itakuwa na masjala kuu kwenye mahakama kuu pic.twitter.com/7POTtQt0NP
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
Mahakama Kisutu imemhukumu raia wa A. kusini faini mil 65.7 baada ya kukutwa na bangili ya manyoya ya mkia wa tembo pic.twitter.com/RVJYi6SW3T
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#JamboLEO NECTA imewataka watu wanaomiliki vyeti vya kughushi kuvisalimisha mara moja kabla hawajachukuliwa hatua pic.twitter.com/y44RiMiDcu
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MAJIRA Jeshi la polisi Dar limefanikiwa kukamata genge la vijana zaidi ya 50 maarufu kama 'Panya Road' pic.twitter.com/leN08vYZFy
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MTANZANIA TRA inatarajia kugawa maeneo kama vitalu ili kuweza kuwafikia wafanyabiashara wote waweze kulipa kodi pic.twitter.com/hqOiwKwtyz
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MTANZANIA Bawa la ndege iliyodhaniwa ni ya Shirika la Malaysia Airlines limekabidhiwa kwa Serikali ya nchi hiyo pic.twitter.com/gtS2JNeSpf
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#TanzaniaDAIMA Makinda atumbua vigogo tisa NHIF, wadaiwa kuhusika na ufujaji wa mabilioni, wamo pia mameneja saba pic.twitter.com/ACqIXAWcKk
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#MWANANCHI Ofisa mmoja wa polisi wa Kenya aliyewaua wenzake saba kwa kuwapiga risasi naye ameuawa kwa kupigwa risasi pic.twitter.com/19DktxRomw
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
#BINGWA Straika wa Azam, Tchetche bado hajawasili kuungana na wachezaji wenzake wanaojiandaa na msimu mpya wa ligi pic.twitter.com/po2OLPoY0R
— millardayo (@millardayo) July 16, 2016
ULIKOSA HII YA SAMUEL SITTA KUZUNGUMZIA TAARIFA ZA KUHAMISHWA NYUMBA YA SERIKALI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI