Wakati jiji la Dar es Salaam wakipanga kujenga kituo kikubwa cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi, maeneo ya Mbezi Luis wakikitoa cha Ubungo ambapo hakipo katika hali nzuri, Morogoro wamejenga kituo kikubwa na cha kisasa ambacho abiria atakua anakaa sehemu nzuri kusubiri mabasi.
VIDEO: Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7