June 15, 2018 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Faustine Ndungulile amezungumzia suala la Wafamasia kuweka madirisha ya ushauri katika Maduka ya Dawa jambo ambalo hawatakiwi kufanya zaidi ya Hospitali tu.
Namnukuu Naibu Waziri “Marufuku kuweka madirisha ya ushauri katika famasi zenu, maana wapo na wengine wanafanya hadi upasuaji mdogo,”
LIVE MAGAZETI: Watapigwa kipigo cha Mbwa koko!, Bajeti yang’ata yapuliza