Leo March 21, 2018 Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri kwa upande wa Serikali katika kesi namba 49, ya 2018 inayowahusu Mkurugenzi wa Upelelezi Tanzania (DCI), Mkuu wa Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kujibu kuhusu Nondo kutofikishwa Mahakamani.
Wametakiwa kuwasilisha majibu yao March 26, 2018 ambapo upande wa Mashtaka unatakiwa kupeleka majibu March 27, 2018 kama kuna majibu ya nyongeza.
BREAKING: ”Nondo amerudishwa Iringa kutoka Dar Usiku”-Mwanasheria