Sio mbaya kukumbushwa au kuambiwa vitu ambavyo vitakusaidia kuwa na afya au kukusababisha mwili wako kuwa kwenye hali nzuri zaidi kila siku iwapo utavifanya, wanasema hizi hapa chini ni baadhi tu ya njia za kukufanya kuwa na afya njema kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Columbia.
- Matembezi Mafupi
Kutembea kwa angalau dakika 20 tu kwa siku inaweza kukusaidia kuishi kwa muda mrefu.
2. Kupunguza uzito kiasi
3. Kunywa Maji
Hii inaweza kupunguza hatari ya kansa ya kibofu cha mkojo kwa sababu ya kwenda chooni mara nyingi zaidi, kunywa zaidi ya lita mbili imependekezwa kila siku.
4. Kula samaki
Kilichofanya Samaki kuingizwa kwenye list hii ni utafiti uliofanywa kwa waliokula samaki angalau mara moja kwa wiki na afya yao ya ubongo kuonekana kuimarika.
5. kulala usingizi mnono
Sisi wote tunapenda usingizi ila usingizi wa usiku mzuri na kufanya hivi inaweza kuongeza maisha yako kuishi, utafiti kutoka Harvard Medical School umegundua Wanaume zaidi ya 65 ambao hawakuwahi kutumia muda mwingi katika usingizi mzito walikuwa katika hatari ya kupatwa na shinikizo la damu.
6. Kupunguza msongo wa mawazo
7. Kula Matunda