Kwenye #REWIND ya leo on millardayo.com inakusogezea dakika moja na nusu ya kilichotokea kwenye birthday party ya mwimbaji staa wa dunia Trey Songz ambae alitimiza umri wa miaka 30 November 28 2014 ambapo Chris Brown ni miongoni mwa watu waliohudhuria.
#Rewind Dakika 1 ya Trey Songz alivyoenjoy birthday yake akiwa na Chris Brown.

Leave a comment
Leave a comment