Hii inaweza kukufanya uchukue tahadhari zaidi maana yanatendeka matukio ambayo hatujayazoea kabisa kuwa nayo mtaani, huko Mwanza kuna mtoto katwekwa geitini kisha Mtekaji kudai apewe Tsh Milioni Tatu.
Mama mzazi wa mtoto aliyetekwa kasimulia tukio lilivyokuwa akisema kuwa mtoto alitekwa akiwa getini na mtu asiyejulikana kisha akatumiwa ujumbe na mtekaji huyo na kumpa maelekezo ya namna ya kufanya ili ampate mtoto wake ikiwa ni pamoja na kutuma fedha Tsh Milioni Tatu.
KAZI IMEANZA DSM: Kamanda mpya kaongea tena…tazama kwenye hii video hapa chini!!!