Leo March 7, 2018 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu, Anthony Mavunde amesema Zaidi ya waajiri 6907 huenda wakafikishwa mahakamani na serikali kutokana na kukaidi kujiunga katika mfuko wa fidia wa wafanyakazi (WCF).
Naibu waziri Mavunde amesema hayo jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake katika baadhi ya kampuni na viwanda wilayani Temeke iliyolenga kuwatambua waajiri ambao hadi sasa hawajajiunga katika mfuko huo wa fidia.
Mbunge alivyoongoza Wananchi kuua Tumbili Jimboni