Mahakama ya mafisadi iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2015 ambayo itakuwa ni maalumu kwa ajili ya kushughulikia makosa ya rushwa na ufisadi imeripotiwa kuanza leo na baadhi ya vyombo vya habari, Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande ameeleza haya kuhusu mahakama hiyo ya mafisadi….
>>>hii kama sheria kama Rais itakwenda mbele yake maana bungeni imepita, kitu kinachoanzishwa ni division ya rushwa na uhujumu uchumi ya mahakama kuu’.
>>>tunategemea labda jumatatu mkandarasi ataikabidhi mahakama jengo, tunategemea pale Law School kuna jengo pale ambalo chuo wametupa ndio tutaanzisha pale lakini kuna marekebisho yanafanyika na jumatatu wiki ijayo tunatarajiwa kukabidhiwa jengo’:-Jaji Chande
>>>karibuni tutamuomba rais aidhinishe sheria hii na sheria hii inabidi itangazwe kwenye gazeti la serikali ndio ianze rasmi lakini na sisi upande wa majengo tumejiandaa, wafanyakazi tunao na majaji tunao:-Jaji Chande
Bonyeza play kusikiliza Audio hii hapa chini
ULIKOSA HII YA WAZIRI NCHEMBA KWAMBA IKITOKEA UCHOCHEZI WOWOTE TUTASHUGHULIKA NA VIONGOZI HUSIKA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE