Mmiliki wa Facebook amewaambia maseneta wa Marekani kuwa kampuni yake imekuwa ikipambana na watumiaji wa Warusi wanaotaka kuutumia vibaya mtandao huo wa kijamii
” Haya ni makabiliano ya kijeshi. Watarekebika” -Zuckerberg
Zuckerberg alikua akijibu maswali yanayohusiana na sakata ya matumizi mabaya ya data za kibinafsi maarufu kama Cambridge Analytica.
Pia amefichua kuwa Robert Mueller, kutoka baraza maalum linalochunguza madai ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani wa Mwaka 2016 aliwahoji wafanyakazi wa Facebook.
Zuckerberg amesema kuwa kampuni yake sasa imetengeneza nyenzo za kubaini akaunti gushi
“Ni wazi sasa kwamba hatukufanya juhusi za kutosha kulinda nyenzo zetu dhidi yakutumiwa kwa madhara” -Zuckerberg
“Ukiangalia mambo yalivyokwenda yalikuwa ni makosa ya wazi” kuamini kuwa Cambridge Analytica ilifuta data, bila kufanya uchunguzi zaidi” -Zuckerb
Kwamba wakati wote kutakuwa na kitengo kisicholipiwa cha Facebook, kunachoweza kulipiwa , kitengo ambacho hakina matangazo ya biashara cha mtandao wa kijamii” -Zuckerberg
“Kukabiliana na kauli za uchochezi wa chuki ” una kiwango cha juu cha makosa kuliko vile ninavyotaka “ -Zuckerberg
Anayemsomesha Mtoto Antony aeleza alivyopigiwa simu na Millard Ayo