Leo October 15, 2018 Milioni 79 zimetengwa ili zitumike kutibu Wagonjwa walioungua moto (Burns Injuries) ndani ya siku 10 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mwanza Sekou Toure.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Mganga Mfawidhi wa Sekou Toure, Dr. Bahati Msaki amesema matibabu yote mpaka mwisho yanatolewa bure hakuna malipo yoyote na yatakuwa kwa siku kumi.