Mbunge wa viti maalum CHADEMA Hawa Mwaifunga amelieleza Bunge kuwa wafanyabiashara nchini wamekuwa na hali ngumu kutokana baadhi ya wafanyakazi ya TRA kuwatengenezea mazingira ya kuwakamatisha ili mwisho wa wiku wapewe rushwa.
Maagizo 10 aliyotoa Rais Magufuli akipokea BILIONI 1.5