Kutana na msichana Hajrat mwenye umri wa miaka 25 anayesumbuliwa na ugonjwa wa ‘Lupus’ kupitia mahojiano aliyoyafanya na AyoTV na millardayo.com amezungumza kuhusu dalili za ugonjwa huo na ainsi unavyomtafuna tokea mwaka 2006, unaweza kumtazama kwa kubonyeza play hapa chini
EXCLUSIVE: Papi Kocha na Joto DSM Kuna nini tena?