Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameliomba Bunge ameshauri Serikali isifanye uchaguzi wa kipengele cha Urais katika uchaguzi mkuu wa 2010 na badala yake iruhusu uchaguzi uhusishe Wabunge na Madiwani pekee kutokana na kwamba Rais John Magufuli hana mpinzani kwa sasa na badala yake fedha ambazo zinatarajiwa kutumika katika uchaguzi huo zitumike katika kujenga nchi.
NAIBU WAZIRI AWESO VS MNYIKA BUNGENI LEO “WEWE MWENYEWE HUJUI”