Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola amemuonya Mwanaharakati Cyprian Musiba, kuacha mara moja Kufanya harakati zake kwa kuwaaminisha Watanzania kuwa Serikali inamtuma, kauli hiyo ameitoa leo September 13, 2019 wakati akizungumza na Waandishi wa habari Dodoma ambapo pia amewaonya matapeli wanaotumia majina ya Viongozi kwa ajili ya kuwaibia wananchi.
SERIKALI YAWEKA WAZI MPANGO WA KUPAPENDEZESHA ENEO LA MTO MSIMBAZI