Tunaofatilia bongofleva toka kitambo tunamfahamu Belle 9, ni mkali mwingine kutoka Morogoro ambapo leo hii ameshirikiana na G Nako kutuletea burudani mpya iitwayo ‘give it to me’ na ukishamaliza kuitazama hii video usiache kusema chochote kwenye comment
ULIPITWA? Kutana na binti Mtanzania wa miaka 20 aliyelipwa BILIONI 1 kwa dili moja Marekani… bonyeza play hapa chini