Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe amelieleza Bunge kuwa ameunda kamati ya Wanasheria ambao wataanza kufuatilia makampuni yote yaliyoingia mikataba ya kazi na msanii King Majuto pamoja na wasanii wengine wote wa Tanzania akiwemo Steven Kanumba ili kubaini kama kuna mazingira ya kuonewa lazima familia zao zilipwa.
Baadhi ya Watanzania waliofunguka kuhusu Muungano