Leo March 7, 2018 Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga amesikitishwa na kitendo cha shamba la miti ya mbao kupandwa miti ya kivuli katika mradi unaofadhiliwa na TASAF katika kijiji cha Nangoo, Masasi.
Akiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na TASAF katika Wilaya ya Masasi, Kanali Mstaafu Lubinga alibaini shamba hilo kupandwa miti ya kivuli ambayo hupandwa majumbani wakati lengo kuu ni kupanda miti ya mbao kwa lengo la kuwakomboa wananchi wa Kijiji hicho.
Mbunge alivyoongoza Wananchi kuua Tumbili Jimboni