Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa wanaosambaza taarifa za kufariki kwa watu nane katika ajali ya magari madogo iliyotokea jana ambapo kamanda wa jeshi la polisi Jonathan Shana amesema watu wawili ndiyo waliofariki huku wengine wawili hali zao zikiwa mbaya sana.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza kamanda akizungumza.
RPC ARUSHA,MASHUHUDA WAZUNGUMZIA AJALI ILIYOUWA WATU ARUSHA LEO