Kama ni mpenzi wa Hekaheka nakusogezea hii iliyosikika leo mtu wangu, inatoka Shinyanga ambapo kuna story ya msichana ambaye ana tabia ya kujipiga picha za utupu na kuzisambaza Whatsapp na Facebook.
Marafiki wa karibu wanasema amekuwa akijipiga picha hizo na kuwatumia marafiki zake pamoja na wanaume, huku akijisifia uzuri wake ambapo wao wanaona hiyo sio poa na ni udhalilishaji hata kwao pia.
Kijana mmoja ambae alitumiwa picha na msichana huyo amesema alishangaa kurushiwa picha hizo japo hakujua lengo la msichana huyo ambapo hata hivyo mrembo huyo amesema alipiga hizo picha na rafiki yake lakini baadae akashangaa kuona zimeenea.
Kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook