Ukimlea mtoto wako kwenye mazingira ya kumjenga kuwa jasiri ni raha sana, wazazi wengi hawajui juu ya hili.. pata picha mtoto anamuuliza mke wa Rais kabisa eti ana umri gani.. kiukweli ni swali la kawaida sana lakini kumkuta mtoto anauliza swali tu kwa mtu yoyote mtu mzima itakuonesha ana ujasiri kiasi gani.
Basi Michelle Obama kaulizwa swali hilo na mtoto mdogo, akajibu >>”nina miaka 51..” mtoto akasema “You’re too young for 51!”.. Michelle akafurahishwa na swali, akamuita akamkumbatia mtoto aliyemuuliza swali hilo.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter InstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.