Dar mvua ni muda wowote unakutana nayo.. leo nimepita mitaa ya Mwananyamala nimekuta mvua kubwa kabisa.. maji yamejaa mpaka barabarani magari yanapita kwa tabu.
Niliposogea maeneo ya Sinza nikakuta mvua iko kwa mbali baadhi ya sehemu, lakini maeneo kama Mwenge, Ubungo mvua hakuna kabisa.
Hizi pichaz ni kutoka Mwananyamala.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.